Alois Maria wa Montfort

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Louis-Marie Grignion de Montfort.

Alois Maria wa Montfort (Montfort-sur-Meu, Ufaransa, 31 Januari 1673 - Saint-Laurent-sur-Sèvre, 28 Aprili 1716)

Alikuwa padri maarufu kwa mahubiri na maandishi yake, ambayo mpaka leo yanazidi kuathiri Kanisa Katoliki hasa upande wa heshima kwa Bikira Maria katika maisha ya kiroho.

Ni mwanzilishi wa mashirika matatu ya kitawa: Shirika la Maria, Mabinti wa Hekima na Mabruda wa Mt. Gabriel.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwaka 1888, halafu Papa Pius XII. alimtangazwa mtakatifu mwaka 1947.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo ya Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

  • Mt. Louis-Marie Grignon wa Montfort – tafsiri ya A. Nyenza, B.F. – ed. Mabratha wa Montfort wa Mt. Gabriel Tanzania -2000

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

Vitabu vyake
  • de Montfort, St. Louis. Preparation for Total Consecration according to the Method of St. Louis de Montfort. Bay Shore NY: Montfort Publications, 2001.
  • de Montfort, St. Louis. God Alone: The Collected Writings of St. Louis Marie De Montfort Montfort Publications, 1995 ISBN 0910984557
Maisha yake
  • Doherty, Eddie. Wisdom's Fool: A biography of St. Louis de Montfort. Bay Shore NY: Montfort Publications, 1993.
  • Fiores, Stefano Dictionnaire de Spiritualité Montfortaine. (1360 pag.)Novalis, 1994
  • Raja Rao, Joseph The Mystical Experience and Doctrine of St. Louis-Marie Grignion de Montfort Loyola Press, 2005, ISBN 9788878390300
Hati za Papa Yohane Paulo II

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.