Nenda kwa yaliyomo

Kiwango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwango (kwa Kiingereza: level) ni kipimo au hali ya kutathmini au kulinganisha kitu au hali fulani. Kinaweza kikawa cha juu mno au cha chini mno.