Ngazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngazi ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:

  • Ngazi (nomino) – ni jina la kifaa ambacho hutumika wakati wa kukwea katika miti, dari au sehemu yoyote ya juu.
  • Ngazi (kitendo) – inaonyesha tofauti ya uongozi au cheo katika usimamizi na mgawanyo wa madaraka.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.