Nenda kwa yaliyomo

Msingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa kata ya Mkoa wa Singida, Tanzania, tazama Msingi (Mkalama).

Msingi ni eneo la chini lililojengwa imara ili litigemeza sehemu za juu, kama vile kuta na paa.

Kwa hiyo neno hilo linatumika pia kwa kitu au jambo la awali ambalo ni muhimu kuliko yote au ni chanzo cha lingine.

Neno hilo linatumika pia kwa mfereji au mtaro uliochimbwa ili kupitisha maji ya kumwagilia mimea au pia majitaka.