Nenda kwa yaliyomo

Sensuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sensuri (alifariki Auxerre, leo nchini Ufaransa, 502 hivi) alikuwa askofu wa 8 wa mji huo kuanzia mwaka 472 hadi kifo chake[1][2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 10 Juni[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.