Nenda kwa yaliyomo

Sharbel na Bebaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sharbel na Bebaya (walifariki Edessa, leo nchini Uturuki, 250 hivi) walikuwa padri na dada yake waliouawa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo.

Inasemekana waliingia Ukristo kwa juhudi za askofu Barsimeo wa Edessa[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/39010
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.