Teodari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teodari (alifariki karibu na Vienne, Ufaransa, 575 hivi) alikuwa mmonaki mfuasi wa Sesari wa Arles ambaye alimweka kuwa mwombezi na muungamishi wa waumini wa jimbo lake[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.