Timotheo wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timotheo wa Roma (alifariki Roma, Italia, 306) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika makao makuu ya Dola la Roma wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.