Bernardo wa Tiron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernardo wa Tiron (pia: wa Ponthieu; Abbeville[1], 1046 - Thiron-Gardais, 14 Aprili 1117) alikuwa mmonaki Mbenedikto nchini Ufaransa, ambaye alipendelea kuishi kama mkaapweke katika misitu na visiwa[2], lakini alipata pia kuwa abati na kuongoza kwenye ukamilifu wa Kiinjili wanafunzi wengi waliomtafuta[3]; kwa ajili hiyo alianzisha monasteri na urekebisho wa shirika ili kufuata zaidi kanuni ya Mt. Benedikto [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Aprili[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Bernard de Thiron", Nominis
  2. Geoffrey Grossus The Life of Blessed Bernard of Tiron The Catholic University of America Press (2009)
  3. History of Tiron Abbey
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49410
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kifaransa) Alphonse-Victor Angot, Ferdinand Gaugain, Bernard de Tiron, dans Dictionnaire historique, topographique et biographique de la Mayenne, Goupil, 1900-1910
  • (Kiingereza) Geoffrey Grossus The Life of Blessed Bernard of Tiron The Catholic University of America Press (2009)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.