Yoana Jugan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yoana Jugan.

Yoana Jugan (kwa Kifaransa Jeanne Jugan; utawani: Maria wa Msalaba; Cancale, Ille-et-Vilaine, 25 Oktoba 1792Saint-Pern, Ille-et-Vilaine, 29 Agosti 1879) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista Wadogo wa Fukara ili kuhudumia wazee wenye mashaka makubwa zaidi[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 3 Oktoba 1982, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 11 Oktoba 2009.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 29 Agosti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Paul Milcen, 2000 Jeanne Jugan: Humble, So as to Love More Darton, Longman & Todd ISBN 0-232-52383-5

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.