Yosefu Calasanz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. José de Calasanz, Zaragoza.

Yosefu Calasanz, Sch.P. (kwa Kihispania José de Calasanz; Peralta de la Sal, Aragon, leo nchini Hispania, 11 Septemba 1557 - Roma, Italia, 25 Agosti 1648) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Waskolopi kwa ajili ya elimu ya watoto maskini.

Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 7 Agosti 1748, halafu Papa Klementi XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Julai 1767.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Josep Domènech i Mira, Joseph Calasanz (1557–1648), "Prospects: Quarterly Review of Comparative Education. Paris, UNESCO, XXVII: 2, 327–39. [1]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.