Waskolopi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lebo ya shirika.

Waskolopi ni jina lililozoeleka la watawa wa shirika linaloitwa kwa Kilatini Ordo Clericorum Regularium pauperum Matris Dei Scholarum Piarum (kwa Kiingereza: Order of Poor Clerics Regular of the Mother of God of the Pious Schools; kifupi: SchP). Lengo ni kuwapa elimu watoto maskini.

Shirika hilo lilianzishwa na Yosefu Calasanz tarehe 25 Machi 1617 na kwa sasa lina watawa 1,400 hivi duniani kote[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • P. Helyot, Histoire des ordres religieuses (1715), iv. 281
  • J. A. Seyffert, Ordensregeln der Piaristen (Halle, 1783)
  • J. Schaller, Gedanken über die Ordensfassung der Piaristen (Prague, 1805)
  • A. Heimbucher, Orden und Kongregationen (1897) ii. 271
  • articles by O. Zockler in Herzog-Hauck's Real-encyklopadie für protestantische Theologie (1904), vol. xv.
  • C. Kniel in Wetzer and Welte's Kirchen-lexikon (1895), vol. ix.

For Calasanz, see

  • Timon-David, Vie de St Joseph Calasance (Marseilles, 1884)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waskolopi kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.