Fransisko De Geronimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wake wa kale zaidi na uso wake katika nta siku ya kufa.

Fransisko De Geronimo, S.J. (Grottaglie, Puglia, 17 Desemba 1642Napoli, Campania, 11 Mei 1716) alikuwa padri wa Italia Kusini na mtawa wa Shirika la Yesu maarufu kwa mahubiri yake aliyoyatoa sehemu nyingi na kwa uchungaji wake kati ya watu maskini[1] [2][3][4]

Alitangazwa mwenyeheri na Papa Pius VII mwaka 1806, halafu mtakatifu na Papa Gregori XVI mwaka 1839.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Francis of Girolamo". Saints SQPN. 14 November 2016. Iliwekwa mnamo 21 March 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "St. Francis di Girolamo". EWTN. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-25. Iliwekwa mnamo 21 March 2017.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "St. Francis de Geronimo". The Catholic Encyclopedia. 1 September 1909. Iliwekwa mnamo 21 March 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/32450
  5. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Kuhusu maandishi yake, tazama Carlos Sommervogel, "Bibl. de la Compagnie de Jésus", new ed., III, column 1358

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.