Nenda kwa yaliyomo

Kaisari wa Bus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Kaisari.

Kaisari wa Bus (Cavaillon, leo nchini Ufaransa, 3 Februari 1544Avignon, Provence, 15 Aprili 1607) alikuwa padri mwanajimbo wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika mawili ya kitawa yamsaidie kuhubiri na kufundisha imani, ingawa hapo awali alikuwa askari akaishi pia maisha ya anasa[1].

Alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 27 Aprili 1975[2] , halafu na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • De Beauvais, Vie du P. César de Bus (Paris, 1645);
  • Dumas, Vie du P. de Bus (Paris, 1703);
  • Helyot, Histoire des ordres religieux, revised ed. by Badiche in Migne, Encyclopédie théologique (Paris, 1848), XXI;
  • Johann Nepomuk Brischar in Kirchenlexikon, III, 1873, s.v. Doctrinarier;
  • Baillet, Les vies des saints (Paris, 1739), III, 617;
  • Heimbucher, Die orden und Kongregationen der kathol. Kirche (Paderborn, 1897), II, 338.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.