Krispino wa Ecija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Krispino wa Ecija (alifariki Ecija, karibu na Sevilia, Hispania, karne ya 4 hivi) alikuwa askofu wa mji huo aliyefia imani ya Kikristo kwa kukatwa kichwa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.