Vulfustani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vulfustani (Long Itchington, Warwickshire, leo nchini Ufalme wa Muungano, 1008 hivi - 20 Januari 1095) alikuwa abati na baadaye askofu wa Worcester kuanzia mwaka 1062 hadi kifo chake.

Pamoja na kuendelea kushika maadili ya umonaki, alifanya uchungaji mkubwa kwa kutembelea parokia za jimbo lake, kujenga makanisa na kuhamasisha elimu na kupinga uroho.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 20 Januari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

     . http://www.oxforddnb.com/view/article/30099?docPos=4. Retrieved 25 May 2012.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.