Pompei wa Pavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pompei wa Pavia (alifariki Pavia, Italia, karne ya 4) alikuwa askofu wa pili wa mji huo (Italia Kaskazini) baada ya Siro wa Pavia[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 14 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.