Delfino wa Bordeaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Delfino wa Bordeaux (alifariki Bordeaux, Ufaransa, 24 Desemba 401/403) alikuwa askofu wa mji huo kwa zaidi ya miaka ishirini akiueneza sana Ukristo[1].

Baada ya kupata uaskofu alishiriki mitaguso kadhaa akauitisha mmoja huko Bordeaux katika juhudi zake dhidi ya uzushi wa Waprisiliani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/83100
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.