Jermano, Theofilo na Sirili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jermano, Theofilo na Sirili (walifariki Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo) walikuwa Wakristo waliofia imani yao.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.