Theobadi wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theobadi wa Vienne (kwa Kifaransa: Thibaud, Théobald, Thibaut, Thietbauld au Ubald; kwa Kilatini: Teutbaldum; alizaliwa 930 hivi - alifariki Vienne, 21 Mei 1001) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 957 hivi akiangaza kwa upendo na moyo wa ibada[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X tarehe 9 Desemba 1903.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/54280
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.