Nenda kwa yaliyomo

Isidori mkulima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Isidoro Mkulima)
Mt. Isidori mkulima.
Mt. Isidro na Mt. Maria.

Isidori mkulima (kwa Kihispania Isidro Labrador, Madrid, Castilia, 1070 hivi – Madrid, 15 Mei 1130[1]) alikuwa mkulima wa Hispania maarufu kwa upendo wake kwa maskini na wanyama.

Pamoja na mke wake, mwenye heri Maria wa Cabeza, aliwajibika katika kazi ngumu za shambani, akivuna kwa uvumilivu wake tuzo ya mbinguni kuliko mazao ya ardhi akawa kielelezo cha mkulima Mkristo [2].

Papa Paulo V alimtangaza mwenye heri tarehe 2 Mei 1619, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3] .

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ABC. "Las idas y venidas del cuerpo incorrupto de San Isidro Labrador". Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/53300
  3. Roman Martyrology 2001 for 21st-century date; Catholic Encyclopedia (1910) for (same) early 20th-century date

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 167
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 140

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.