Maurili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maurili (Milano, Italia, karne ya 4 - Angers, leo nchini Ufaransa, 453) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 423, akijitahidi kufuta Upagani kama alivyoelekezwa na Martino wa Tours[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70100
  2. Alban Butler, Butler's Lives of the Saints, Volume 9: September, edited by Paul Burns (Collegeville, Minnesota: The Liturgical Press, 2000), ISBN|0-8146-2385-9
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.