Nenda kwa yaliyomo

Fortunati wa Todi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fortunati wa Todi (alifariki Todi, Umbria, 565 hivi BK) anakumbukwa kama askofu wa mji huo (Italia ya Kati)[1][2][3].

Papa Gregori I alimsifu sana kwa jinsi alivyohudumia wagonjwa kwa uadilifu mkubwa[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[5] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Oktoba[6]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=3429
  2. Gli Umbri: 99 biografie di donne e uomini illustri dalla Latinità al Novecento, a cura di Fedora Boco, Perugia 1999, pag. 27.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74145
  4. Dudden, Frederick (1905), Gregory the Great, juz. la 2, London: Longmans Green, uk. 339, OCLC 914226
  5. Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome, iliwekwa mnamo 2012-11-04
  6. Martyrologium Romanum
  • AA. VV., Il Tempio del Santo Patrono - Riflessi storico-artistici del culto di san Fortunato a Todi, Ediart, Todi 1988.
  • Guglielmo De Angelis d'Ossat, Il Tempio di San Fortunato a Todi, Silvana, Milano 1982.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.