Basilide wa Lori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Basilide wa Lori (alifariki karibu na Roma, Italia, 304) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma.

Habari zake hazieleweki sana[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Victor Saxer: Art. Basilides. In: Lexikon für Theologie und Kirche, 3. Auflage (1994), Zweiter Band, Sp. 60.
  • Victor Saxer: Art. Basilides von Rom. In: Lexikon der Heiligen und der Heiligenverehrung, Band 1 Personenteil A – H, Herder-Verlag Freiburg/Basel/Wien 2003, Sp. 205f.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.