Prudensi wa Troyes
Mandhari

Prudensi wa Troyes (kwa Kilatini: Prudentius; kwa Kifaransa: Proliant, Pruiant, Prudence; Aragon, leo nchini Hispania - Troyes, leo nchini Ufaransa, 6 Aprili 861) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 843, baada ya kuishi miaka mingi katika ikulu kama mwandishi.
Kama askofu alitunga muhtasari wa sala za Zaburi kwa wasafiri, alikusanya maagizo ya Biblia kwa wanaojiandaa kuwa mapadri na alirekebisha umonaki[1].
Maandishi yake mengi yanapatikana katika Patrologia Latina CXV, 971–1458, ila tenzi zake zimo katika Monumenta Germaniae Historica Poetæ Lat., II, 679 sq.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 116
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 101
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Girgensohn, Prudentius und die Bertinianischen Annalene (Riga, 1875)
- Freystedt, Ueber den Prädestinationsstreit in Zeitschrift für wissenschaftl. Theologie (1893), 315 sq., 447 sq.
- Breyer, Les vies de St. Prudence Evéque de Troyes, et de St. Maura, vierge (Troyes, 1725)
- Meddeldorff, De Prudentio et theologia Prudentiana commentatio in Zeitschrift für histor. Theol., II (1832), 127-190
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Prudentius". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- Opera Omnia by Migne Patrologia Latina with analytical indexes
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |