Nenda kwa yaliyomo

Danieli wa Padua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya bronzi ya Mt. Danieli wa Padua katika Basilika la Mt. Antonio wa Padua.

Danieli wa Padua (alifariki 168) alikuwa shemasi mwenye asili ya Uyahudi ambaye alimsaidia katika uinjilishaji askofu Prosdosimi wa Padua, Italia na hatimaye alifia dini yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Januari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.