Arkonsi wa Viviers
Mandhari
Arkonsi wa Viviers (alifariki Viviers, leo nchini Ufaransa, karne ya 8) alikuwa askofu wa mji huo, kwenye mto Rhone[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 10 Januari[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kifaransa) Jacques Rouchier, Histoire religieuse, civile et politique du Vivarais, tomo I, Parigi 1861, p. 556
- (Kilatini) Jean-Barthélemy Hauréau, Gallia christiana, vol. XVI, Parigi 1865, coll. 546-547
- (Kifaransa) Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. I, Paris 1907, pp. 238-239
- (Kiitalia) Francesco Russo, Arconzio, vescovo di Viviers, santo, martire, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. II, coll. 383-384
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |