Mariano wa Auxerre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariano wa Auxerre (pia: Machano; Bourges, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 - Fontenay, Yonne, 488) alikuwa mmonaki katika Gallia[1][2].

Ingawa alikuwa na maendeleo mazuri katika maisha ya kiroho, abati wake, Mamertini wa Auxerre, alimpeleka kuishi shambani kuchunga mifugo, jambo ambalo Mariano alilifanya kwa moyo wote.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.