Tibursi wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Tibursi akitembea juu ya makaa ya moto.

Tibursi wa Roma (alifariki Roma, Italia, mwishoni mwa karne ya 3 au mwanzoni mwa karne ya 4) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake katika Yesu[1].

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.