Nenda kwa yaliyomo

Baronsi na Desideri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baronsi na Desideri (walifariki Montalbano, Toscana, Italia, karne ya 7) walikuwa wakaapweke karibu na Pistoia. Desideri alikuwa mfuasi bora kati ya watano waliojiunga na Baronsi kufanya toba[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 26 Machi[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.