Nenda kwa yaliyomo

Yakobo Hilari Barbal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakobo Hilari Barbal (Enviny, Lleida, 2 Januari 1898 - Tarragona 28 Julai 1937) alikuwa bruda wa Kanisa Katoliki nchini Hispania katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo [1].

Mwalimu kwa miaka 20 hivi, hatimaye aliuawa na waasi wa dini waliochukia Kanisa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania, wa kwanza kati ya 97 wa shirika lake[2].

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 29 Aprili 1990, halafu mtakatifu tarehe 21 Novemba 1999.

Sikukuu yake inaadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.