Niseti wa Lyon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Niseti wa Lyon (pia: Nicetius, Nicetus, Nicet au Nizier; 513 hivi - 2 Aprili 573) alikuwa askofu mkuu wa mji huo wa Gaul (leo Ufaransa) kwa miaka 20 baada ya ndugu ya mzazi wake Sacherdo wa Lyon aliyefariki mwaka 552[1].

Alijulikana kwa upendo wake kwa maskini na kwa uzinguaji wa pepo[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3] au tarehe 3 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.