Paulo wa Kupro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paulo wa Kupro (alifariki Kupro, 760 hivi) alikuwa mmonaki aliyeteswa kikatili sana na hatimaye kuchomwa moto akiwa hai kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.