Sigebati III
Mandhari
Sigebati III (630 hivi - 1 Februari 656) alikuwa mfalme wa Austrasia kutoka katika familia ya Merovingian kuanzia mwaka 633 mpaka kifo chake kwenye 656.
Alielezewa kama mfalme wa kwanza wa Wafaranki asiyeshughulikia siasa, akimuachia meya wa ikulu atawale wakati wote. Hata hivyo aliishi Kikristo na alijenga monasteri nyingi na kutoa misaada mikubwa kwa makanisa na kwa maskini. [1][2]
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu, sawa na mwanae Dagobati II.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari.[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CatholicSaints.Info » Blog Archive » Butler's Lives of the Saints – Saint Sigebert II, French King of Austrasia, Confessor" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-07-25.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92259
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |