Yohane wa Sahagun
Mandhari

Yohane wa Sahagun, O.E.S.A. (Sahagun, Leon, Hispania, 24 Juni 1419 - Madrid, Hispania, 11 Juni 1479) alikuwa padri mwanajimbo aliyejiunga na shirika la Waaugustino akapata umaarufu kwa mahubiri yake na kwa maisha ya kiroho yaliyomwezesha kurudisha amani kati ya wananchi waliogawanyika makundimakundi kwa chuki[1][2].
Papa Klementi VIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1601, halafu Papa Aleksanda VIII akamtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, p. 223
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90159
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 202
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 170-171
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]media kuhusu Saint John of Sahagun pa Wikimedia Commons
- Augustinians of the Midwest: Life of St. John of Sahagun Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- St. John of Sahagun
- Catholic Encyclopedia: St. John of Sahagun
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |