Polieuto wa Melitene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Mt. Polieuto.
Mchoro mdogo wa kifodini cha Mt. Polieuto, 1000 hivi.

Polieuto wa Melitene (pia: Polyeuctus, Polyeuctes, Polyeuktos; alifariki Melitene, Armenia ya kale, 10 Januari 259) alikuwa afisa wa jeshi la Dola la Roma aliyepata kuwa mfiadini wa Kikristo wa kwanza huko Melitene, chini ya kaisari Valerian.[1]

Alipochana hati ya kaisari Decius iliyoagiza wote waabudu miungu, na kuangusha chini na kubomoa sanamu zao 12 zilizopitishwa barabarani[2] aliteswa vikali akakatwa kichwa mbele ya mke wake Paulina, watoto na mkwe wake. Hivyo alibatizwa kwa damu yake.[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Waarmenia, Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Januari[4] au 9 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyr Polyeuctus of Melitene, in Armenia (en).
  2. Symeon Metaphrastes writes that, moved by the zeal of his friend Saint Nearchus, Polyeuctus had openly converted to Christianity. "Enflamed with zeal, St Polyeuctus went to the city square, and tore up the edict of Decius which required everyone to worship idols. A few moments later, he met a procession carrying twelve idols through the streets of the city. He dashed the idols to the ground and trampled them underfoot." Lives of the Saints.
  3. Pierre Corneille, inspired by the account of Polyeuctus' martyrdom, used elements from the saint's story in his tragedy Polyeucte (1642). In 1878 it was adapted into an opera by Charles Gounod, with the assistance of the librettist Jules Barbier. Other works based on the play include a ballet by Marc-Antoine Charpentier (1679), and the opera Poliuto (1838) by Donizetti (adapted with Scribe as Les martyrs). Paul Dukas composed his Polyeucte overture, which premiered in January 1892.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.