Ermini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanduku la marumaru la masalia ya Mt. Ermini katika kanisa la parokia la Lobbes.

Ermini (Laon, Aisne, leo nchini Ubelgiji, karne ya 7 - Lobbes, Hainault, Ubelgiji, 25 Aprili, 737) alikuwa padri halafu mmonaki, mwandamizi wa Ursmari kama abati na askofu wa Lobbes.

Pamoja na kuzingatia sala, alifanya umisionari mkubwa, akisaidiwa na karama zake za pekee, ukiwemo unabii [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.