Yohane Mvunaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pango lake.

Yohane Mvunaji (kwa Kiitalia: Giovanni Theristis; Palermo, mkoa wa Sicilia, Italia, 1049Stilo, Calabria, 1129) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki katika mkoa asili ya wazazi wake, Calabria[1].

Aliitwa "Mvunaji" kwa sababu ya huruma yake kwa maskini iliyomfanya aende mara nyingi kuwasaidia shambani[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi sawia kama mtakatifu, ingawa aliishi baada ya farakano kati yao.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Acta Sanctorum (il frate stilese Stefano Bardaro tradusse la Vita del Santo dal greco al latino).
  • Luigi Cunsolo, Storia di Stilo e del suo regio demanio, Stilo 1965, pp. 233–242 (la Vita in italiano).
  • Franco Danilo, Il katholikon di San Giovanni Theristis, Kaleidon, 2007, ISBN 978-88-88867-12-0
  • Il monastero di San Giovanni Theristis, in «Annali di Studi religiosi» Centro per le scienze religiose in Trento, VII (2006), pp. 276–279.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.