Leokrisya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Leokrisya alivyochorwa akishuhudia kifodini cha Eulogi wa Cordoba.

Leokrisya (alifariki Cordoba, Hispania, 15 Machi 859) alikuwa binti wa familia ya Kiislamu aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliacha dini yao ajiunge na Kanisa Katoliki akakataa katakata kurudi nyuma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN 0-8153-1426-4

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.