Nenda kwa yaliyomo

Eulogi wa Cordoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini chake kilivyochorwa katika kanisa kuu la Cordoba.

Eulogi wa Cordoba (800 hivi -Cordoba, Hispania, 11 Machi 859) alikuwa padri aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo na alimficha Leokrisya, binti aliyeacha Uislamu ajiunge na Kanisa[1].

Kabla ya hapo aliandika taarifa mbalimbali, kama zile za kifodini cha Flora na Maria.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Maandishi

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 88-89
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 72-73

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.