Eutropi, Zosima na Bonosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eutropi, Zosima na Bonosa (walifariki Fiumicino, karibu na Roma, Italia, 211) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 15 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.