Nenda kwa yaliyomo

Karitina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa kifodini chake.

Karitina (287 - Gorgos, Kilikia, au Samsun, leo nchini Uturuki, 304 hivi) alikuwa bikira ambaye aliuawa kutokana na imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.