Tikoni wa Limassol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tikoni wa Limassol (Limassol, Kupro, karne ya 4Limassol, Kupro, 425) alikuwa askofu wa mji huo wakati wa kaisari Theodosi Kijana[1].

Alipinga Upagani uliokuwa umebaki kisiwani huko.

Tangu kale anaheshimiwa na Ukristo wa Mashariki na Ukristo wa Magharibi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Juni[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92509
  2. Paul Guérin (ed.), Vie des Saints des Petits Bollandistes, Paris, Bloud et Barral edd., 1876, VII, p. 64.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.