Afia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Afia (pia: Apia) alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 1 anayetajwa katika barua ya Mtume Paulo kwa Filemoni (Film 1:2), baadaye askofu wa Kolosai, ambaye labda Afia alikuwa mke wake.

Inasemekana walifia dini pamoja.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afia kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.