Peter Chanel

Petro Shanel (Cuet, Ufaransa, 12 Julai 1803 – Futuna, Oseania, 28 Aprili 1841) alikuwa padri mmisionari wa Kanisa Katoliki.
Ametambuliwa rasmi na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 17 Novemba 1889, halafu na Papa Pius XII kuwa mtakatifu kama mfiadini tarehe 12 Juni 1954.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Baada ya kupata upadrisho alishughulika na uchungaji nchini mwake kwa miaka michache, akiwajibika hasa kwa ajili ya wakulima na malezi ya vijana.
Halafu aliingia Shirika la Maria, akatumwa akatumwa katika visiwa vya Oceania pamoja na wenzake kadhaa kuhubiri Injili mahali ambapo ilikuwa haijatangazwa.
Licha ya matatizo mengi alifaulu kwa upole wake kuwaongoa watu kadhaa katika kisiwa cha Futuna, akiwemo mwana wa mfalme. Kwa sababu ya kuchukiwa kwa imani ya Ukristo, huyo kwa hasira aliagiza akamatwe na kuuawa kwa kupigwa rungu [2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/26950
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 130-133
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 147-148
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 126-127
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |