Julita na Kwiriko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya wafiadini hao wawili.

Julita na Kwiriko (jina la mama kwa Kigiriki Ἰουλίττα, Iulitta, kwa Kiaramu ܝܘܠܝܛܐ, Yolitha, jina la mtotoܡܪ ܝ ,ܩܘܪܝܩܘܣ ܣܗܕܐ Mar Quriaqos Sahada) walikuwa mama na mtoto wake mdogo ambao mwanzoni mwa karne ya 4 waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika eneo ambalo leo ni sehemu ya Uturuki kusini mashariki[1][2].

Kwa sababu hiyo tangu kale wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini, hasa tarehe 16 Juni (Kanisa la Magharibi[3]) na tarehe 15 Julai (Kanisa la Mashariki).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.