Nenda kwa yaliyomo

Salvio wa Amiens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Salvio wa Amiens (pia Salvius, Sauve, Salin, Salinius, Salve, Salvinus, Sauflieu, Saulve, Sauvre; alifariki Amiens, leo nchini Ufaransa, 615 hivi) alikuwa askofu wa tisa wa mji huo[1].

Kabla ya hapo alianzisha monasteri na kuwa abati wake [2].

Toka ujanani alifanya bidii katika kusoma teolojia pamoja na kutunza uadilifu kikamilifu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The oldest catalogue of Amiens's bishops exists in a late twelfth-century collection of the works of Robert of Torigny (J.S. Ott, "Urban space, memory, and episcopal authority: The bishops of Amiens in peace and conflict, 1073-1164", Viator 31.3, 2000).
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75480
  3. Martyrologium Romanum
  • Baring-Gould, S. (1897), The Lives Of The Saints: Volume 01, January, London: J. C. Nimmo, iliwekwa mnamo 2021-09-02
  • Butler, Alban (1812), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: Compiled from Original Monuments and Other Authentic Records, Illustrated with the Remarks of Judicious Modern Critics and Historians, juz. la 1, J. Murphy, iliwekwa mnamo 2021-09-02
  • Cathédrale Notre-Dame d'Amiens, sculptures de la clôture du chœur
  • Sachy, Jean-Baptiste Maurice de (1770), Histoire des évesques d'Amiens (kwa Kifaransa), Abbeville: Veuve de Vérité Libraire
  • "Saint Saulve", Nominis (kwa Kifaransa), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-02, iliwekwa mnamo 2021-09-02 {{citation}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-09-02
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.