Jeremari wa Fly
Mandhari
Jeremari wa Fly (Vardes, karne ya 7 - Saint-Germer-de-Fly, 30 Desemba 658) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu na Beauvais, leo nchini Ufaransa, mwaka 655, baada ya kuacha cheo chake katika ikulu na familia yake[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waortodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-12-22.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/83440
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |