Artemis Zatti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Artemis alivyochorwa.

Artemis Zatti, S.D.B. (Kiitalia: Artemide Zatti; Boretto, Italia, 12 Oktoba 1880Viedma, Argentina, 15 Machi 1951) alikuwa mtawa wa shirika la Wasalesiani wa Yohane Bosco ambaye kama mfamasia alishughulikia vizuri sana wagonjwa wa nchi aliyoihamia utotoni.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 14 Aprili 2002[1], halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 9 Oktoba 2022[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Blessd Artemide Zatti". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 10 July 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. CNA. "Immigrant nurse to be canonized". Catholic News Agency (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-28. 
  3. "Vatican – ARTEMIDE ZATTI, PROCLAIMED SAINT". www.infoans.org (kwa it-it). Iliwekwa mnamo 2022-04-09. 
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.