Walburga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Walburga alivyochorwa.

Walburga (Devonshire, Wessex, Uingereza, 710 hivi – Heidenheim, Ujerumani, 25 Februari 779) alikuwa abesi Mbenedikto katika Ujerumani ya leo, alipofuata kaka zake wamisionari wake Wilibaldi na Winibaldi[1][2].

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa na Papa Adriani II tarehe 1 Mei 870.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.